WAKALI wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa siku ya leo ipo kwaajili yako wewe kupiga pesa. Hivyo ingia kwenye akaunti yako na uanze safari ya kijanja ya kutengeneza pesa.
BUNDESLIGA kule Ujerumani inatarajiwa kuendelea kwa mechi kibao ambapo Wolfsburg atakipiga dhidi ya S.T Pauli ambapo mara ya mwisho kukutana kwenye mechi zao mbili walitoa sare yaani hakuna mabaye aliondoka na pointi 3. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Bashiri hapa.
Pia bingwa mtetezi wa ligi hii FC Bayern Munich atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya FC Cologne ambao wapo nafasi ya 11 hadi sasa. Vijana wa Kompany wanahitaji ushindi mnono kwenye mechi hii kuendelea kujiweka kileleni. Je mwenyeji anaweza kumzuia bingwa kuchukua pointi 3?. Tandika jamvi hapa.
Naye RB Leipzig atakuwa nyumbani kusaka ushindi mkubwa dhidi ya Freiburg ambao hawapewi nafasi kubwa pale Meridianbet kuondoka na pointi 3 muhimu kabisa. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 9 pekee. Pesa kubwa ipo kwenye mtanange huu na Meridianbet. Jisajili hapa.
Pesa ipo kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kule Uingereza kuna mechi kali ya CARABAO CUP hatua ya Nusu Fainali ambapo Chelsea atakipiga dhidi ya Arsenal na hii itakuwa ni London Derby. Mechi ya mwisho kukutana ilikuwa kwenye ligi ambapo walitoa sare. Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho The Blues kupata ushindi mbele ya The Gunners ilikuwa ni mwaka 2021. Je nani kusonga mbele kwenye Fainali?. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Suka jamvi hapa.
Vilevile unaweza ukapiga pesa kwenye SERIE A kule Italia ambapo Napoli atakuwa nyumbnai kusaka ushindi dhidi ya Parma ambao wapo nafasi ya 15 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 3 kwenye ligi. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000. Bashiri hapa.
Wakati kinara wa ligi, Inter Milan yeye atakuwa pia atakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya US Lecce ambao wanashika nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi. Msimu uliopita wawili hawa walipokutana Milan waliondoka na ushindi mechi zote mbili. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili hapa.
Kule SAUDI PROFESSIONAL pia itaendelea ambapo Al Qadsiah atamenyana vikali dhidi ya Al Feiha ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 15. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, kila mtu aliondoka na pointi 3 mechi za mbili msimu uliopita. Tandika jamvi lako hapa.
Al Ahli ataumana dhidi ya Al Taawon ambao wapo nafasi ya 3 huku wenyeji woa wakiwa nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA lakini pia ina machaguo zaidi ya 1000. Je wewe unampa nani nafasi ya kuondoka na mkwanja wa maana?. Beti hapa.


No comments:
Post a Comment