HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 9, 2026

MATUKIO KATIKA PICHA

 


Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa pamoja na Afande Commodore Azana Hassan Msingiri, Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) Zanzibar (kulia), na Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Idara Maalum za SMZ, mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuzindua majengo mapya ya taaluma, utawala na hosteli za wanafunzi za Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, yaliyopo Buyu, Zanzibar, Alhamisi Januari 8, 2026

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad