HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 29, 2025

Rais na Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan apiga Kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma

 






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2025.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha alama ya wino kwenye kidole mara baada ya kupiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kupiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2025.









No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad