HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 10, 2025

Puma Energy Tanzania Waadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja Kwa Kutoa Huduma za Ziada Kwenye Vituo Mbalimbali Nchini.

 


Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma Abdallah akisafisha kioo cha gari cha mmojawapo wa wateja waliofika kituoni kupatiwa huduma ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo kwa mwaka 2025 inasherehekewa Oktoba 6-10 duniani kote, ikibeba kauli mbiu ya ‘INAWEZEKANA’. Uongozi na wafanyakazi wa kampuni hiyo walijumuika katika vituo mbalimbali kukutana na wateja wao na kuwashukuru kwa kuendelea kuchagua na kutumia bidhaa na huduma zao nchini kote. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma Abdallah akiweka oil kwenye gari la mmojawapo wa wateja waliofika kituoni kupatiwa huduma ikiwa ni sehemu ya kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja ambapo kwa mwaka 2025 inasherehekewa Oktoba 6-10 duniani kote, ikibeba kauli mbiu ya ‘INAWEZEKANA’. Uongozi na wafanyakazi wa kampuni hiyo walijumuika katika vituo mbalimbali kukutana na wateja wao na kuwashukuru kwa kuendelea kuchagua na kutumia bidhaa na huduma zao nchini kote. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma Abdallah akiangalia oil ya gari la mmojawapo wa wateja waliofika kituoni kupatiwa huduma ikiwa ni sehemu ya kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja ambapo kwa mwaka 2025 inasherehekewa Oktoba 6-10 duniani kote, ikibeba kauli mbiu ya ‘INAWEZEKANA’. Uongozi na wafanyakazi wa kampuni hiyo walijumuika katika vituo mbalimbali kukutana na wateja wao na kuwashukuru kwa kuendelea kuchagua na kutumia bidhaa na huduma zao nchini kote. 


 Mfanyakazi wa Puma Energy Tanzania akimuelezea mteja kuhusu faida zaidi na Puma Elite Card, inayowezesha kununua bidhaa na huduma zote za Puma Energy kwa urahisi na uwezo wa kufuatilia taarifa mbalimbali kama miamala na matumizi yote popote bila makato yeyote.

 Mfanyakazi wa Puma Energy Tanzania akisafisha kioo cha gari la mteja aliyefika kupatiwa huduma katika kituo cha kampuni hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma Abdallah akijaza mafuta kwenye pikipiki ya mmojawapo wa wateja waliofika kupatiwa huduma katika kituo cha kampuni hiyo.
Mfanyakazi wa Puma Energy Tanzania akisafisha kioo cha gari la mteja aliyefika kupatiwa huduma katika kituo cha kampuni hiyo.


Mteja akifurahia zawadi kutoka kwa mfanyakazi wa Puma Energy Tanzania baada ya kupata huduma katika kituo cha kampuni hiyo. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad