HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 9, 2025

DKT.NCHIMBI KUWAHUTUBIA WANANCHI SUMBAWANGA MJINI


MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili kwenye uwanja wa Majengo,Jimbo la Sumbawanga mjini kwa ajili ya kuwahutubia  Wananchi kwenye mkutano wake wa Kampeni leo Septemba 9,2025 mkoani Rukwa.





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad