HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 19, 2025

Mariam Ibrahim aungana na wanawake wa Pwani kufanya usafi Kibaha Vijijini

 

Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim, leo Septemba 18 ameungana na Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Pwani katika zoezi la kufagia viwanja vya Shule ya Msingi Mtongani, Jimbo la Kibaha Vijijini, mkoani Pwani.


Mariam alishiriki shughuli hiyo kama sehemu ya maandalizi ya uzinduzi wa kampeni unaotarajiwa kufanyika kesho katika uwanja huo.







 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad