HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 22, 2025

EY Tanzania Yazindua Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki nchini

Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Prof. Josephat Lotto akizindua Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki "EY Tanzania Banking Sub-Sector Report 2024," iliyoandaliwa na Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu ya EY Tanzania inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Ripoti hii pia inaangazia mabadiliko muhimu ya kisheria na kimkakati katika sekta ndogo ya benki nchini. Hafla ya uzinduzi huo, imefanyika kwenye makao makuu ya Kampuni ya EY Tanzania, jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja wa EY Tanzania, Irene Moris.
 
Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Prof. Josephat Lotto akizindua Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki "EY Tanzania Banking Sub-Sector Report 2024," iliyoandaliwa na Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu ya EY Tanzania inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Ripoti hii pia inaangazia mabadiliko muhimu ya kisheria na kimkakati katika sekta ndogo ya benki nchini. Hafla ya uzinduzi huo, imefanyika kwenye makao makuu ya Kampuni ya EY Tanzania, jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja wa EY Tanzania, Irene Moris.
Meneja Mkaazi wa Kampuni ya EY Tanzania, Joseph Sheffu, akizungumza wakati uzinduzi wa Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki nchini "EY Tanzania Banking Sub-Sector Report 2024," iliyoandaliwa na Kampuni hiyo, inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Ripoti hii pia inaangazia mabadiliko muhimu ya kisheria na kimkakati katika sekta ndogo ya benki nchini. Hafla ya uzinduzi huo, imefanyika kwenye makao makuu ya Kampuni ya EY Tanzania, jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja wa EY Tanzania, Irene Moris akizumbumza wakati uzinduzi wa Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki nchini "EY Tanzania Banking Sub-Sector Report 2024," iliyoandaliwa na Kampuni hiyo, inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Ripoti hii pia inaangazia mabadiliko muhimu ya kisheria na kimkakati katika sekta ndogo ya benki nchini. Hafla ya uzinduzi huo, imefanyika kwenye makao makuu ya Kampuni ya EY Tanzania, jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Mchunguzi wa Masuala ya Benki kutoka Benki Kuu ya Tanzania, Rajabu Msumule (wapili kulia) akiongoza mjadala kuhusu mahitaji ya mtaji kwa benki, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki "EY Tanzania Banking Sub-Sector Report 2024," iliyoandaliwa na Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu ya EY Tanzania inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Ripoti hii pia inaangazia mabadiliko muhimu ya kisheria na kimkakati katika sekta ndogo ya benki nchini. Wengine pichani ni Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Juma Kimori (wapili kushoto), Afisa Mkuu wa Fedha na Thamani wa Benki ya Stanbic, Derick Lugemala pamoja na 
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Juma Kimori akichangia mada wakati wa mjadala kuhusu mahitaji ya mtaji kwa benki, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki "EY Tanzania Banking Sub-Sector Report 2024," iliyoandaliwa na Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu ya EY Tanzania inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.
 
Afisa Mkuu wa Fedha na Thamani wa Benki ya Stanbic, Derick Lugemala (kushoto) akichangia mada wakati wa mjadala kuhusu mahitaji ya mtaji kwa benki, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki "EY Tanzania Banking Sub-Sector Report 2024," iliyoandaliwa na Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu ya EY Tanzania inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Sehemu ya washiriki mbalimbali katika hafla hiyo ya uzinduzi wa Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki nchini "EY Tanzania Banking Sub-Sector Report 2024," iliyoandaliwa na Kampuni hiyo, inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Ripoti hii pia inaangazia mabadiliko muhimu ya kisheria na kimkakati katika sekta ndogo ya benki nchini, iliyofanyika kwenye makao makuu ya Kampuni ya EY Tanzania, jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad