HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 21, 2025

Nani Kukupatia Mzigo wa Maana Leo?

 


KAMA kawaida kila siku kuna mechi kibao za ushindi zinapigwa kwenye Mataifa mbalimbali, mechi za michuano kibao kuendelea leo. Meridianbet inakukaribisha utengeneze jamvi lako sasa.

Mechi za kufuzu CONFERENCE LEAGUE zinaendelea siku ya leo FSV Mainz 05 atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Rosenborg BK kutoka kule Norway huku wakipewa ODDS 3.80 kushinda mechi hii ya leo, kwa upande wa Mjerumani yeye ndio amepewa nafasi kubwa ya kushinda akiwa na ODDS 1.90. Je beti yako unaiweka wapi kwa timu hizi mbili?. Bashiri hapa.

Pia Wolfsberger AC atakuwa nyumbani siku ya leo kusaka ushindi dhidi ya AC Omonia Nicosia kutoka kule Cyprus. Mwenyeji yeye anakipiga ligi ya Austria, huku takwimu zikionesha kuwa wawili hawa hii ndio mara yao ya kwanza kukutana. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo. Bashiri mechi hii yenye ODDS 2.27 kwa 3.30.

Kivumbi kitawaka kwenye mechi hii ya Instanbul Basaksehir dhidi ya CS Universitatea Craiova ambao hawapewi nafasi ya kushinda mechi hii ya leo wakiwa na ODDS 4.50 kwa 1.70. Mwenyeji anapewa nafasi kubwa ya kuondoka na pointi 3 nyumbani. Je mgeni anaweza kumzuia kuondoka na ushindi?. Tandika jamvi hapa.

Pesa za uhakika zipo hapa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Kwa upande wa Sparta Prague yeye atakiwasha dhidi ya Riga FC huku mechi hii kule Meridianbet ikiwa imepewa machaguo zaidi ya 1000. Kila timu inataka ushindi mkubwa siku ya leo, lakini wakali wa ubashiri wao wanampa nafasi kubwa ya ushindi Sparta kwa ODDS 1.32 kwa 8.20. Jisajili hapa.

PFC Levski Sofia atapepetana dhidi ya AZ Alkmaar ya kule Uholanzi. Mwenyeji kwenye ligi yake yupo nafasi ya 2 na mgeni wake yupo nafasi ya 5. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 3.30 kwa 2.00. Je wewe nafasi ya ushindi siku ya leo unampa nani?. Suka jamvi lako hapa.

Huku AEK Athens yeye atasafari kuchuana vikali dhidi ya RSC Anderletch ambao kwenye mtanange huu wa leo kushinda, wamepewa ODDS 2.12 kwa 3.35. Mara ya mwisho wawili hawa kukutana ilikuwa 2011 kwenye michuano hii hii ambapo mwenyeji aliondoka na uhsindi. Je leo hii beti yako unaiweka wapi?. Tengeneza jamvi hapa.

Rayo Vallecano kutoka Hispania watakuwa wageni wa FC Neman Grodno ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda mechi hii siku ya leo wakiwa na ODDS 12 kwa 1.20. Mwenyeji yeye yupo ligi ya Belarus hivyo ushindani wake ni mdogo mbele ya Mhispania huyu. Beti mechi hii sasa.

FC Polissya Zhytomyr watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya ACF Fiorentina ya kule Italia ambao ndio wanaopendelewa kuondoka na ushindi siku ya leo. Kila timu inahitaji pointi 3 za ushindi huku nafasi ya kuondoka kifua mbele akipewa mgeni akiwa na ODDS 1.38 kwa 7.40. Jisajili hapa.

Nao Crystal Palace watakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Fredrikstad FK ya kule Norway. Palace ambao ni mabingwa wa Ngao ya Jamii wamepewa nafasi ya kushinda leo wakiwa na ODDS 1.10 kwa 20. Je jamvi lako unaweka wapi siku ya leo?. Bashiri hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad