HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 21, 2025

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa MkoaniDodoma



Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Jijini Dodoma tarehe 21 Agosti, 2025.









No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad