HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 10, 2025

MWILI WA NDUGAI WAWASILI KONGWA, WANANCHI WAFURIKA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO.

Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Ndugai wawasili Kongwa, Viongozi mbalimbali na Wananchi wa Wilaya ya Kongwa wajitokeza kwa wingi kuaga mwili wa Spika Mstaafu Job Ndugai katika viwanja vya stendi ya mabasi Kongwa leo tarehe 10 Agosti 2025 Wilayani Kongwa mkoani Dodoma.


(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad