HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 29, 2025

DKT. NCHIMBI ATIA MGUU MWANZA KUOMBA KURA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 

Mgombea Mwenza wa kiti cha  Urais kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi  akiwahutubia Wananchi katika uwanja wa CCM mjini Ngudu Wilayani Kwimba, alipopita kuwasalimia wakati akianza rasmi kampeni  leo Agosti 29, 2025 jijini Mwanza. Pamoja na kuwahutubia wananchi pia alimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Kwimba ndugu Bulala Mutesigwa pamoja na Mbunge  wa Jimbo la Sumve Bujaga Charles na madiwani wa chama hicho.







No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad