
Mtia nia wa Ubunge wa Jimbo la Makambako, Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akishiriki kupiga kura ya maoni kwa nafasi ya Ubunge wa jimbo hilo na Udiwani (uchaguzi wa ndani wa chama hicho),leo Jumatatu,Agosti 4,2025 katika kata ya Mlowa, jimbo la Makambako mkoani Njombe.
No comments:
Post a Comment