HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 29, 2025

Zimebaki Saa Chache, Jiunge na Droo ya Washindi wa Meridianbet Sasa

 


KAMPENI kubwa ya mwezi Julai kutoka Meridianbet inaelekea ukingoni, na sasa mashabiki wa michezo na burudani ya mtandaoni wanakumbushwa jambo moja muhimu, zimebaki siku mbili tu kabla ya promosheni hii kufungwa rasmi. Ni muda wa kufanya uamuzi ikiwa bado hujachukua nafasi yako ya kushinda moja kati ya simu tano mpya aina ya Samsung Galaxy A25.

Promosheni hii ilianza rasmi tarehe 1 Julai 2025, na imekuwa ikiwapa wateja wa Meridianbet nafasi ya kushiriki droo maalum kupitia njia rahisi sana, kuweka dau kwenye michezo au kasino kupitia meridianbet.co.tz au kupitia app ya Meridianbet. Kila dau lililowekwa linamuwezesha mchezaji kupata tiketi ya kuingia kwenye droo kubwa inayotarajiwa kufanyika tarehe 1 Agosti 2025.

Tofauti na promosheni nyingi zinazohitaji masharti magumu, hii ya Meridianbet ni ya moja kwa moja. Unapoweka beti, tayari unaingia kwenye droo. Hakuna fomu ya kujaza, hakuna hatua za ziada. Kadri unavyoweka dau mara nyingi, ndivyo unavyoongeza nafasi zako za ushindi. Hata dau dogo linaweza kuwa tiketi ya ushindi, hivyo kila mchezaji ana nafasi sawa ya kutoka na zawadi.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Samsung Galaxy A25 ni simu ya kisasa, yenye sifa zinazovutia, kuanzia kamera bora, uwezo mkubwa wa betri, hadi kasi ya utendaji. Ni zawadi inayostahili kusherehekewa, hasa inapopatikana kupitia burudani ya michezo unayoipenda kila siku.

Hata hivyo, ni muhimu kufahamu kuwa beti zilizowekwa kupitia Turbocash na system tickets hazihesabiki kwenye promosheni hii. Washiriki wanatakiwa kuhakikisha wanacheza kwa kutumia njia sahihi ili kufuzu.

Muda wa kufanya maamuzi ni sasa. Zimebaki siku mbili tu kabla ya droo kufanyika, na nafasi ya kuandika jina lako kwenye orodha ya washindi itapotea mara moja baada ya tarehe 31 Julai kupita. Hii ni fursa ya mwisho ya kuchangamkia promosheni yenye zawadi ya maana na mchakato rahisi.

Fungua akaunti yako ya Meridianbet au pakua app, weka dau, na ingia moja kwa moja kwenye mbio za ushindi. Simu tano za Samsung Galaxy A25 zinasubiri wamiliki wapya, huenda moja ikawa yako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad