HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 26, 2025

Wikendi Yako Ni Vyema Ukiwa na Jamvi na Meridianbet

 


NI Jumamosi ya mwisho ya mwezi wa 7 ambayo haitaki kukuacha hivi hivi kwani unaweza ukasuka jamvi lako la uhakika na kuondoka na maokoto ya maana leo. Timu kubwa zipo uwanjani kujiweka sawa kabla ya msimu kuanza.

Mapema kabisa Liverpool FC atakuwa pale Anfield kukiwasha dhidi ya AC Milan ambao msimu uliopita hawakuwa na msimu mzuri kwani walikosa nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa Ulaya. Vijana wa Arne Slot ndio mabingwa watetezi wa EPL huku kushinda leo hii pale Meridianbet wamepewa ODDS 1.40 kwa 5.60. Bashiri hapa.

Huku Union Berlin yeye atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Greuther Furth ambao wanakipiga kule Ujerumani Bundesliga 2. Mgeni wake yeye anacheza ligi kuu yaani Bundesliga. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Berlin kwa ODDS 2.06 kwa 2.95. Je beti yako unaiweka wapi kwa timu hizi mbili?. Jisajili hapa.

Je unajua kuwa unaweza kutengeneza pesa kwa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Nao FC Numberg watakuwa wakiumana dhidi ya 14 ya kule ligi kuu ya Ujerumani, wakati wemyeji yeye anakipiga Bundesliga 2. Hivyo hii ni vita ya kujifua kuelekea msimu ujao mmoja akiwa timu kubwa na mwingine timu ya daraja la kwanza. ODDS za mechi hii ni 3.35 kwa 1.79. Tandika jamvi hapa.

Vilevile mtanange mwingine ni huu wa AZ Alkmaar vs Olympiacos ya kule Ugiriki huku nafasi ya kushinda akiwa amepewa yeye kwa ODDS 1.87 kwa 3.20. Wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia hivi leo hii una nafasi kubwa kabisa ya kuondoka na mkwanja. Weka jamvi lako mechi hii sasa.

Pia AS Monaco ya kina Pogba watakuwa ugenini kujifua dhidi ya Armenia Bielefeld ambao wanatokea kule Ujerumani. Monaco wanataka kuanza ligi vyema hasa baada ya kumaliza ligi wakiwa nafasi ya 3 ambayo itawafanya washiriki michuano mikubwa ya Ulaya. Pogba na wenzake kushinda mechi hii wana ODDS 1.73 kwa 3.60. Suka jamvi hapa.

Le Havre uso kwa uso na Angers huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Vilevile mtanange huu umewakutanisha wote wanatokea Ufaransa huku mwenyeji ndie akiwa anapendelewa kuondoka bingwa leo akiwa na ODDS 2.16 kwa 3.05. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili sasa.

Kwa upande wa OGC Nice wao watakuwa kibaruani dhidi ya FC.ST Pauli ya kule Ujerumani, huku mwenyeji yeye akiwa anakipiga kule Ufaransa. Kila timu inataka kuonesha ubabe mbele ya mwenzake. Je nani kuondoka na pointi 3?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa.

Bashiri mechi nyingine ya VFB Stuttgart dhidi ya Celta Vigo ya kule Hispania ambao kushinda mechi hii wana ODDS 3.65 kwa 1.77. Mjerumani anahitaji kujiweka vyema kabla msimu hujaanza halikadhalika kwa mgeni naye anahitaji ushindi siku ya leo. Tengeneza jamvi lako hapa.

Mabingwa watetezi wa SERIE A, Napoli chini ya kocha mkuu Antonio Conte watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya US Catanzaro ambao hawapewi nafasi ya kushinda kabisa leo pale Meridianbet wakiwa na ODDS 14 kwa 1.14. Nani kufurahia mwisho?. Beti hapa.

Saa 4:00 usiku, Fulham FC atamenyana vikali dhidi ya Nottingham Forest ambao hawa wote wanakipiga kule Uingereza EPL. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, Forest alipigika. Je leo hii wneyeji anaweza kulipa kisasi kwenye mechi ya kirafiki?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 2.38 kwa 2.60.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad