MERIDIANBET Tanzania inasababisha mchezaji wa poker kuwa sehemu ya shindano kubwa la mwaka kupitia qualifiers za Festival Malta 2025 kwenye jukwaa la Playtech Poker. Kuanzia Julai 14 hadi Septemba 8, 2025, qualifiers zinafanyika kila siku kupitia satellites, huku main tournaments zikichezwa kila Jumanne, Ijumaa na Jumapili na kutoa nafasi ya kushinda package kamili yenye thamani ya TZS 5,550,000.
Package hii inajumuisha tiketi ya Main Event (Septemba 15–21) yenye thamani ya TZS 1.67 million, malazi ya siku 6–7, pesa za ziada ya TZS 758,778, pamoja na pesa taslimu hadi TZS 750,000 zitakazowekwa ndani ya masaa 72 baada ya ushindi.
MMT (multi-table tournaments) hutoa fursa ya kujirudia qualifier, unaweza kurudi na kuchukua “min cash” hata ukishindwa mwishoni wa shindano na mfumo wa mchezo ni wazi bila udanganyifu.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kila mshindi anaruhusiwa kushinda package moja tu huku akiwa na nafasi ya kushinda seat za ziada hata kama ameshinda moja wapo tayari, huku suala la gharama za usafiri pamoja na visa likiwa ni jukumu lako mwenyewe.
Kampeni hii inalenga kuhakikisha usalama, haki na uwazi kwa wachezaji, Meridianbet ikiweka sera kali dhidi ya matatizo ya kiteknolojia ama udanganyifu.
Lakini Malta sio tu poker pekee, kutakuwa na zaidi ya matukio 50 ya poker, pamoja na michezo ya kasino kama Blackjack, Roulette, na burudani nyingine bila kusahau matukio mbalimbali ya kibinadamu, huku mkesha wa likizo ukiendelea pale Portomaso Casino.
Hii ni fursa yako ya kuingia kwenye ulimwengu wa poker na kujipatia kumbukumbu zisizosahaulika. Jiunge sasa na Meridianbet Tanzania, na uwe mmoja wa wachezaji watakaoenda kuunda historia kwenye Festival Malta 2025.
No comments:
Post a Comment