HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 5, 2025

KAIMU MKURUGENZI MKUU FCC ATEMBELEA BANDA LA WMA SABASABA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC) Tanzania bi.Hadija Juma Ngasongwa akisaini kitabu Cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Wakala Wa Vipimo (WMA) na kujionea huduma wanaoyoitoa katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

WMA ni miongoni mwa Taasisi ambazo zinashiriki katika Maonesho hayo kwaajili ya kutoa elimu kuhusu majukumu ambayo wanayafanya.

Wadau mbalimbali na wananchi kwa ujumla wakiwa katika banda la Wakala Wa Vipimo (WMA) na kujionea huduma wanaoyoitoa katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

WMA ni miongoni mwa Taasisi ambazo zinashiriki katika Maonesho hayo kwaajili ya kutoa elimu kuhusu majukumu ambayo wanayafanya.

Watumishi wa Wakala Wa Vipimo (WMA) wakitoa zawadi kwa wadau na wananchi walioytembelea banda lao kujionea huduma wanaoyoitoa katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

WMA ni miongoni mwa Taasisi ambazo zinashiriki katika Maonesho hayo kwaajili ya kutoa elimu kuhusu majukumu ambayo wanayafanya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad