HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 15, 2025

Balozi wa Tanzania nchini Comoro Akiwa Afanya mazungumzo na Rais wa nchi, Azali Assoumani

BALOZI wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu akiwa katika mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Mhe. Azali Assoumani walipokutana hivi karibuni. Rais Azali amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ujio wake nchini Comoro na maelezo mazuri kwa wananchi na Serikali ya Comoro ambapo pamoja na mambo mengine, aliahidi kufanya kazi na Serikali ya Rais Azali kuimarisha Sekta ya Afya na kueneza lugha ya Kiswahili.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad