WEWE ni mmoja wa wanaotafuta nafasi ya kujishindia zawadi yenye thamani? Meridianbet imekuandalia promosheni kabambe ambapo unaweza kuibuka mshindi wa simu mpya aina ya Samsung A25 kwa kucheza mchezo wa kusisimua wa Super Heli.
Kuanzia tarehe 1 hadi 30 Juni, washindi wawili watajinyakulia simu hizi kila Jumatatu kwa kushiriki tu kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni. Super Heli si burudani ya kawaida tu, bali pia ni njia bora ya kuongeza kipato chako.
Ili kushiriki, jiunge na Meridianbet kwa kujisajili, kisha cheza Super Heli kwa dau lolote kwani kila dau linakuweka karibu zaidi na ushindi. Kumbuka, zawadi na pesa zinaweza kuwa zako ukicheza kwa umakini na bahati.
NB: Jiunge na Meridianbet na ujionee ushindi rahisi kupitia michezo mbalimbali ya kasino ya mtandaoni. Pia unaweza kuongeza kipato chako kwa kubashiri mechi zenye ODDS KUBWA. Piga *149*10# au tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz
Super Heli ni mchezo wa kasi na msisimko wa hali ya juu kwani kila ndege inapopaa juu, odds nazo hupaa na kkuza dau uliloliweka hivyo kuongeza faida yako. Kama wewe ni mpenzi wa michezo kama Aviator, basi super heli ni baba lao kwani utofauti wake na hiyo michezo mingine ni suala zima la kupaa kwa muda mrefu sana na kukufanya uwe na nafasi ya kuibuka na zawadi ya kuvutia kama Samsung A25.
Usikose fursa hii ya kipekee. Cheza Super Heli leo na uwe miongoni mwa washindi wa simu mpya pamoja na zawadi nyingine nyingi
No comments:
Post a Comment