Kiwanda kikubwa na cha kwanza kutengeneza na kuunganisha Magari nchini Tanzania GF vehicles Assemblers (GFA) kilichopo Kibaha mkoani Pwani leo kimetimiza utengenezaji wa Gari ya miamoja (4000) toka kuanza uzalishaji rasmi wa kiwanda hicho 2020.
Akizungumza wakati wa sherehe za kuruhusu gari ya 4000 kukanyaga aridhini baada ya kuunganishwa tayari kwa kutembea ,Meneja mkuu wa kiwanda hicho ,Ezra Mereng alisema
Wanaishukuru serikali kupendekeza Tozo ya maendeleo ya viwanda kwenye vichwa vya Terla za magari makubwa vinavyoagizwa nchini kwa asilimia 10 ili kuvilinda viwanda vya ndani na kuchochea ununuzi wa magari yalionunganishwa nchini alimaliza manger
Kwa upande wa Mkurugenzi wa GFA,All Jawad Karmali wao wamejipanga katika kuhakikisha wanaongeza mtaji katika uwekezaji ili kukabiliana na soko la Afrika mashariki na kati kwa upande wa magari na Tanzania kuwa nchi moja wapo inayounganisha magari na kulisha ukanda woote wa Afika mashariki nah ii inatokana na mazingira Mazuri ya serikali kwa wawekezaji nchini
Pia alizitaka Tasisisi za serikali na kuagiza magari ambayo hayajaunganishwa na kazi ya kuunganisha ifanyike na viwanda vya ndani ili kukuza pato la taifa na kuongeza ajira kwa watanzania, pia kama nchi itajipatia fedha za kikgeni kwa kuuza nchi jirani Magari yanayotoka Tanzania.


.jpeg)
.jpeg)
No comments:
Post a Comment