HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 23, 2024

RAIS MSTAAFU DKT. JK AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU WA GRENADA NEW YORK MAREKANI

 

RAIS Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE) amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Dickon Mitchell, Waziri Mkuu wa Grenada, Jijini New York, Marekani. 

Katika mazungumzo yao, Mwenyekiti wa GPE ameahidi kushirikiana na Visiwa vya Grenada ili kupatia ufumbuzi hitaji la elimu kwa njia ya mtandao (digital learning) ambalo taifa hilo linahitaji kuwezesha upatikanaji wake kwa wanafunzi wa elimu msingi (basic education) yaani, chekechea, msingi na sekondari.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad