HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 23, 2024

Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia afunga Zoezi la Medani katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya JWTZ) Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani

 Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afunga Zoezi la Medani katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiimba pamoja na vikundi mbalimbali vya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wakitoka kwenye zoezi la Medani lililofanyika Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Askari wa vikundi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambao walishiriki kwenye zoezi la Medani wakati wa shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Pongwe Msungura, Msata Mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.

1 comment:

  1. Baada ya Uhuru na King's African Rifles KAR kuondoka Nchi Tanganyika ilibidi ilindwe na Tanganyika Rifles (TR) chini ya CDF Machaga Generali Mirisho Sarakikya (Mchaga). Sarakikya akamwasi Nyerere ili apindue Uhuru Nyerere akarudi kwa Malkia akazima uasi wa Sarakikya na Nyerere akaunda JESHI JIPYA JWTZ.

    Leo tuna CDF Mchaga Generali Mkunda (Mchaga) ananusa kuma na mkundu wale wale unakuwa kuma halafu mnaimba.,.,.. Jeshi la kupindua AR kuleta Jeshi la Watu mtalipata wapi?

    JWTZ linahitaji kuvunjwua, liko maporini linatumiwa na BINTI wa SULUHU au wa Ali HassNi Mwinyi! Mpaka kesho mumtafute SULUHU labda tuue NCHI kwa USENGE!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad