Afisa Uthibiti Ubora Mwandamizi wa NACTVET, Mohammed Mbasha akihudumia wananchi waliotembelea banda la NACTVET kwenye Maonesho ya Kilimo (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Dole Kizimbani, Zanzibar
Wananchi na wadau mbalimbali wakipata huduma katika Banda la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwenye Maonesho ya Kilimo (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Dole Kizimbani, Zanzibar. Maonesho hayo yalianza tarehe 1 Agosti na yanaendelea hadi tarehe 14 Agosti, 2024.
No comments:
Post a Comment