KATIKA kuhakikisha wanasaidia kuibuka kwa vipaji mbalimbali mitaani leo kampuni ya Meridianbet imefika eneo la Kijitonyama jijini Dar-es-salaam na kutoa msaada kwa timu za mpira wa miguu kwenye mitaa hiyo.
Meridianbet wametoa msaada wa mipira kwa timu mbili za mpira wa miguu zinazopatikana mitaa ya Kijitonyama ambazo ni Magic Fc, pamoja na African Boys wakiendelea kurudisha kwenye jamii yao ambayo inakua na uhitaji.
Huu umekua ni utaratibu kwa kampuni ya Meridianbet kuhakikisha wanashika mkono wale wote ambao wamekua na uhitaji, Na ndicho walichokifanya mapema leo katika eneo la Kijitonyama jijini Dar-es-salaam.
Bashiri michezo mbalimbali ambayo imepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet wikiendi hii Bila kusahau kucheza michezo ya Kasino uibuke mshinde wa Mamilioni
Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wanatambua fika kua michezo imekua sehemu inayotoa ajira kwa vijana wengi haswa mpira wa miguu, Hivo wao kutoa msaada kwa timu hizo za mpira wa miguu imeonesha kua wanapambana kuhakikisha ajira zinapatikana kwa wingi kwa vijana kupitia michezo.
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram alipata wasaa wa kuzungumza wakati wa tukio hilo “ Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani kwa mapokezi mliyotupatia mahala hapa lakini kubwa ni kufanikisha hili ambalo tumelifanya hapa tuna matumaini tutapata wachezaji wazuri sana siku za mbeleni kupitia timu hizi”
Aidha viongozi wa timu za Magic Fc, pamoja na African Boys walifanikiwa kutoa shukrani zao za dhati kwa uongozi wa Meridianbet kwa msaada walioutoa kwao wakitoa wito kwa makampuni mengine kujitahidi kutoa misaada ili kuhakikisha wanaibua vipaji vipya kila siku.
No comments:
Post a Comment