HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 14, 2024

WAKAZI WA MSOMELA HANDENI WANUFAIKA NA MAFUNZO YA UTUMIAJI WA TAIFA GAS.

 

 

Baadhi ya wakazi wa Msomela wilayani Handeni mkoani Tanga wakipata elimu ya matumizi ya mitungi ya Taifa Gas kutoka kwa Wataalamu wa Kampuni ya Taifa Gas wakati mafunzo ya nadharia ya siku tatu yaliyoanza leo na yanatarajiwa kumalizika Juamatano.Jumla ya mitungi 1000 ya Taifa Gas inatarajiwa kugawiwa bure kwa wakazi hao katika hafla kubwa itakayofanyika Ijumaa ya Mei 17,2024.


 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad