HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 22, 2024

COIN STRIKE HOLD & WIN KASINO INAYOTOA USHINDI MKUBWA

 


* “Coin Strike Hold and Win ni sloti bomba kutoka kasino ya mtandaoni inayotolewa na mtoa huduma maarufu, Playson. Katika mchezo huu, utaweza kufurahia jakpoti kupitia bonasi za kasino. Na alama ya Jokeri atakamilisha mchanganyiko wako wa ushindi”

MERIDIANBET wanakuletea mchezo mwingine wa kasino ya mtandaoni ambao utakupa nafasi ya kushinda moja ya jakpoti nne kubwa. Kazi yako ni kufurahia tu burudani, na hakuna shaka kwamba utafaulu kushinda zawadi kubwa kwenye safari hii. JISAJILI HAPA kuingia mchezoni.

Coin Strike Hold and Win ni sloti bomba kutoka kasino ya mtandaoni inayotolewa na mtoa huduma maarufu, Playson. Katika mchezo huu, utaweza kufurahia jakpoti

kupitia bonasi za kasino. Na alama ya Jokeri atakamilisha mchanganyiko wako wa ushindi.
Sifa Kuu za Mchezo

Coin Strike Hold and Win ni mchezo wa sloti wenye nguzo tatu zilizopangwa kwenye mistari mitatu na ina njia tano za malipo. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kuunganisha alama tatu zinazofanana kwenye mstari wa malipo.

Mchanganyiko wote wa ushindi, isipokuwa zile zilizo na alama za bonasi, huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia nguzo ya kwanza upande wa kushoto. Unaweza kupata ushindi mmoja tu kwa kila mstari wa malipo. Huwezi kupata ushindi Zaidi ya mmoja kwenye mstari mmoja wa malipo, lakini ushindi wa pamoja ni rahisi iwapo utafanikiwa kwenye mistari mingi ya malipo kwa wakati mmoja.

Ukifanikiwa kupata alama tisa zinazofanana au moja ikichanganyika na jokeri, utashinda malipo kwenye mistari yote mitano ya malipo. Ndani ya sehemu ya Bet, kuna vitufe vya kuongeza na kupunguza thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Katika mchezo huu wa sloti kasino ya mtandaoni kuna kipengele cha Autoplay ambacho unaweza kukiwezesha wakati wowote, na kupitia kipengele hiki unaweza kuweka hadi mizunguko 50 kwenye mchezo.

Ikiwa unapenda mchezo wa kasi zaidi, unaweza kuwezesha mizunguko ya haraka kwa kubonyeza kitufe chenye picha ya radi. Cheza sasa sloti hii kujinyakulia maokoto ya kutosha na ubadili maisha yako.

Alama za Mchezo wa Coin Strike Hold and Win
Kuhusu alama za michezo ya kasino ya mtandaoni zipo nyingi na zinaweza kukupatia pesa mpaka ushangae! alama ya chini kabisa ya malipo ni alama ya cherry. Kisha, kuna kikundi cha alama zenye thamani sawa ya malipo, ambazo ni: limau, chungwa, na plamu.

Tikiti maji na zabibu ndizo matunda yanayotoa malipo makubwa zaidi. Ukipata alama hizi tatu katika mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara 16 ya dau lako.

Ifuatayo ni alama za Bar ambazo zina nguvu zaidi ya malipo. Ukipata alama hizi tatu katika mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara 20 ya dau lako.

Alama ya thamani kubwa zaidi ya msingi ni kengele ya dhahabu. Ukipata alama hizi tatu kwenye mstari wa malipo, utashinda mara 30 ya dau lako.

Jokeri ni alama ya Lucky 7 nyekundu. Alama hii inabadilisha alama zote isipokuwa alama za bonasi na jakpoti na kusaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi. Pia, hii ndiyo alama yenye thamani kubwa zaidi katika mchezo.

Ukiunganisha alama hizi tatu kwenye mstari wa malipo, utashinda mara 50 ya dau lako.
Jiunge na Meridianbet, cheza mchezo huu wa kusisimua wa Coin Strike Hold and Win na ushinde jakpoti kubwa huku ukifurahia burudani ya kiwango cha juu!

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad