HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 14, 2024

MALIZA JUMAPILI NA MAOKOTO YA MERIDIANBET

 

BAADA ya jana kushuhudia mitanange kibao kutoka ligi mbalimbali, pia leo hii utamu wa soka bado unaendelea na wewe una nafasi ya kujiweka kwenye mamilionea kirahisi sana. Suka jamvi lako na ubashiri sasa.

Kama kawaida ligi penwa yani EPL kutakuwa na mechi za pesa, Liverpool baada ya kutoka sare mchezo uiopita, leo hii atakuwa Anfield kukiwasha dhidi ya Crystal Palace ambao wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wamempa Jogoo nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.18 kwa 12.74. Mara ya mwisho Klopp na vijana wake walishinda. Je na leo wataendeleza moto. Beti mechi hii.

Lakini pia West Ham United watamenyana dhidi ya Fulham ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 9. Moyes na vijana wake walishinda mechi yao iliyopita huku vijana kutoka Craven Cottage wakipoteza. Mechi hii imepewa ODDS 2.38 kwa 2.74. Nani kuondoka na pointi tatu leo hii? Jisajili hapa.

Mechi nyingine kali itakuwa ni kati ya vijana wa Mikel Arteta Arsenal dhidi ya Aston Villa majira ya 12:30 jioni ambapo The Gunners wanahitaji ushindi wa hali na mali kujiweka vyema kwenye mbio za ubingwa. Meridianbet wammepa mwenyeji nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.27 kwa 9.40. Nani kushinda? beti hapa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

LALIGA nayo kutakuwa na mechi kibao za kukutajirisha, Las Palmas baada ya kupoteza mechi iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa Sevilla ambao wao wlaishinda mechi yao iliyopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 12 na ngeni yupo nafasi ya 14. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Suka mkeka wako hapa.

Vilevile Athletic Bilbao watashuka dimbani leo kupepetana dhidi ya Villarreal huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 21. Mara ya mwisho kukutana Bilbao alishinda na leo ana ODDS 1.59 kwa 5.29 kushinda. Ingia meridianbet na ubeti mechi hii.

Saa 4:00 usiku Real Sociedad ataumana dhidi ya UD Almeria ambaye ndiye kibonde wa ligi hii akipewa ODDS 9.60 kushind amechi hii. Sociedad yupo nafasi za 6 huku mechi ya mkondo wa kwanza walipoonana mwenyeji alishinda. Tengenza jamvi hapa.

Ligi kuu ya Itali SERIE A pia kuna mechi zinaendelea leo Sassuolo Calcio atakuwa mwenyeji wa AC Milan ya Pioli ambao wametoka kupata ushindi mechi yao iliyopita, na mwenyeji wake akipata sare. Milan ana ODDS ya 1.81 kwa 4.01. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajiki sasa.

Saa 1:00 usiku Udinese atakuwa uso kwa uso dhidi ya AS Roma ambapo timu hizi zinatofautiana pointi 27 kwenye ligi. Mwenyeji kushinda mechi hii amepewa ODDS 3.28 kwa 2.22. Mara ya mwisho kukutana, Roma alishinda. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi akiwa nyumbani?. Suka mkeka hapa.

Nao vinara wa ligi hiyo Inter Milan watakuwa nyumbani kusaka pointi tatu dhidi ya Cagliari Calcio ambao wapo nafasi ya 14 kwenye msimamo wa ligi. Milan amepewa ODDS 1.16 kushinda huku mgeni wake akipewa 14.7. Mgeni anaingia uwanjani akikumbuka kipigo cha mechi iliyopita. Je wanaweza kufanya chochote mbele ya vijana wa Inzaghi? Beti sasa.

Kule sasa ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA leo hii kutakuwa na mechi mbili pekee ambapo saa 10:30 jioni SV Darmstadt 98 atamualika Freiburg nyumbani kwake kusaka pointi tatu. Mwenyeji ni kibonde wa ligi hiyo na mmgeni wake yupo nafasi ya 9. Mechi ya mwisho walitoa sare. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Bashiri sasa.

Vijana wa Xabi Alonso Bayer Leverkusen leo hii wanatafuta ushindi watangazwe mabingwa wapya wa Bundesliga. Watakipiga dhidi ya Werder Bremen ambapo watafikisha pointi 79 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote endapo watashinda. Je Mgeni anaweza kumzuia Leverkusen kuchukua ndoo leo?. Suka jamvi lako hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad