HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 14, 2024

BAKWATA MKOANI SINGIDA YAIPONGEZA TAASISI YA RAMADHAN CHARITY PROGAMME 2024

 

 Baraza kuu la waisilamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Singida limemtunuku cheti cha pongezi Bw. Taasisi ya Ramadhan Charity Program 2024 kwa Kuendelea Kutoa Mchango wake kwa Watu wenye uhitaji Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Pongezi hizo zimetolewa na BAKWATA Mkoa wa Singida kwa Taasisi ya Ramadhan Charity program 2024 kupitia Mwenyekiti Ahmed Misanga wakati wa tamasha la Stara lililofanyika mkoani humo hivi karibuni baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Taasisi ya Ramadhan Charity program 2024 iliweza kufuturisha mikoa 5 ya Tanzania na kuwafikia wahitaji wapatao 1500.
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad