HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 14, 2024

Promosheni ya Super Heli Yaanza Kutoa Zawadi

HATIMAYE sasa zile zawadi zilizotajwa kutolewa kwa washindi wa mchezo wa Super Heli unaopatikana kwenye kasino ya mtandaoni. Washindi mbalimbali wa TV,Smartphones, na bonasi za kasino zinazidi kutolewa, kama bado hujacheza huu mchezo basi wakati ni sasa. Cheza Super Heli Hapa.

Super Heli kasino unataka kufanana na mchezo maarufu wa AVIATOR ambao pia unapatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni, lakini utofauti wake ni kwenye dau na muonekano, Super Heli UNARUSHA ndege ya helikopta kisha itakupa bonasi za kasino kibao.

Super Heli mchezo kutoka Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet unakufanya kuwa tajiri, cha kwanza dau lake ni kuanzia Tsh 100/= lakini pesa hii ina maajabu makubwa ambayo huwezi kuamini imetajirisha wengi ambao wamechagua kucheza huu mchezo. Jisajili hapa ili ufurahie maajabu ya Super Heli Kasino.

Zawadi na Ushindi.
Super Heli mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa Expanse Studios. Katika mchezo huu, utapata bonasi za kasino kubwa. Kuna malipo ya pesa taslimu papo hapo.

Wachezaji bora wakati wa promosheni ya Super Heli watapokea zawadi zifuatazo kutoka Meridianbet:

Nafasi ya 1 - Samsung TV inchi 55.
Nafasi ya 2 - Samsung A24.
Nafasi ya 3 na ya 4 - TZS 200,000 beti za bure.
Nafasi ya 5-6 - TZS 100,000 beti za bure.
Nafasi ya 7-10 - TZS 50,000 beti za bure.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad