HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 7, 2024

CHAPA MPUNGA WA MAANA NA EUROPA LEO

 

MICHUANO za EUROPA Barani Ulaya hatua ya 16 bora inaendelea hii leo ambapo mechi hizo zipo kwaajili ya kukupatia mkwanja wa maana leo kwani Liverpool, AS Roma, Leverkusen wote wapo dimbani. Ingia na ubashiri sasa mechi hizi.

Dimba la epet Arena litawaka moto ambapo mwenyeji Sparta Prague ya Czech Repulic itakipiga dhidi ya Liverpool ya Jurgen Klopp ambyo ndiyo vinara wa ligi ya Uingereza hadi sasa. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa Liver akiwa na ODDS 1.81 kwa 3.92, huku mara ya mwisho kukutana ilikuwa mwaka 2011 na Jogoo alishinda. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi?. Bashiri sasa mechi hii.

Kumbuka sio kubashiri tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi nyingine ambayo ni ya kukupatia pesa ni hii inayowakutanisha kati ya AS Roma kutoka Italia dhidi ya Brighton & Hove Albion majira ya saa 2:45 usiku. Mwenyeji kwenye ligi yupo nafasi za 5 na mgeni yupo nafasi ya 9. Meridianbet wanampendelea mwenyeji kushinda mechi hii kwa ODDS 2.11 kwa 3.28. Wewe beti yako unaiweka wapi. Jisajili hapa.

Naye Bayer Leverkusen ambao wamekuwa wa moto sana msimu huu kule Ujerumani, wao watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Qarabag FK ambaye kushinda mechi hii amepewa ODDS 8.03 kwa 1.34. Je Alonso na vijana wake wataendeleza moto na huku Uropa? Suka jamvi lako sasa huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000.

Nao SC Freiburg watashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya West Ham United ya Uingereza ambayo imekuwa na mwenendo usiotabirika. Lakini mwenyeji pia hayupo kwenye nafasi ya kutosha kwenye ligi baada ya kuambulia sare akiwa nyumbani mechi yake iliyopita. Mechi hii imepewa ODDS 2.60 kwa 2.60. Bashiri sasa.

Majira ya saa 5:00 usiku, AC Milan atakuwa mwenyeji wa Slavia Prague katika dimba la San Siro huku Pioli akiuhitaji ushindi huu kwa namna yoyote ile na meridianbet wamemua wampe nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.40 kwa 7.44. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Tengeneza jamvi lako sasa.

Mechi nyingine ya kibabe kweli kweli ni hii inayowakutanisha SL Benfica kutoka kule Ureno dhidi ya Glasgow Rangers kutoka Scotland. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa msimu majuzi na walitoa sare mechi zote mbili walizokuta. Leo hii Benfica anapewa nafasi ya kushinda mechi hii akiwa na ODDS 1.55 kwa 5.48. Beti sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad