HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 16, 2024

IJUMAA HII UNAKOSAJE MPUNGA SASA?

 


MAMBO vipi mteja wa meridianbet?. Ijumaa ndio hii yani namaanisha wikendi ndio inaanza leo hii huku mabingwa wa ubashiri Tanzania meridianbet tayari wameshakuwekea ODDS KUBWA na za maana, hivyo ingia na ubashiri sasa.

Jicho langu limeanza kumulika ligi ya LALIGA ambapo leo hii saa 5:00 usiku utapigwa mchezo mmoja kati ya wenyeji Villarreal dhidi ya Getafe. Nyambizi wa njano walitoa sare mchezo wao uliopita, huku mgeni wake akipata ushindi mechi iliyopita. Mara ya mwisho kukutana timu hizi walitoshana nguvu, lakini meridianbet leo hii wamempa mwenyeji nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.11 kwa 3.43. Je nani kuondoka na pointi 3?. Tengeneza jamvi sasa.

Vilevile kule Italia kutakuwa na SERIE A ambapo michezo mwili kuchezwa katika viwanja mbalimbali. Torino baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita atakuwa nyumbani pale kuzichapa dhidi za Lecce ambaye alipokea dozi nzito mchezo wake uliopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 9, huku mgeni akihitaji kulipa kisasi baada ya kupigwa mechi ya kwanza walipokutana. Mechi hii imepewa ODDS 1.76 kwa 4.90. Jisajili na ucheze.

Vile vile Meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Nao vinara wa ligi hiyo Inter Milano chini ya kocha mkuu Simon Inzaghi watakuwa pale Giusseppe Meazza kusaka pointi tatu za kujikita kileleni dhidi ya Salernitana ambaye ndiye kibonde wa ligi hiyo. Inzaghi na vijana wake wamepewa ODDS 1.16 kwa 4.90. Je Inter kuendeleza moto wake?. Suka mkeka wako na ubeti hapa.

Halikadhalika mechi nyingine za pesa ni hii hapa ambayo inawakutanisha FC Cologne dhidi za Werder Bremen katika ligi ya Ujerumani kule BUNDESLIGA. Timu hizi zimepishana pointi 10 pekee huku ushindi akipewa mwenyeji ndani za meridianbet kwa ODDS 2.50 huku mgeni akipewa ODDS 2.79. Ingia meridianbet na ubeti sasa.

LIGUE 1 pia kutakuwa na mchezo mmoja wa Lyon dhidi ya Nice ambaye yupo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi baada ya kuwa na mwendelezo mzuri huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 13. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.69 kwa 2.74. Mechi ya mwisho kuonana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka kidedea?. Bashiri sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad