HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 4, 2023

VUNA DEILE KUNOGESHA MSIMU WA SIKUKUU KWA WATANZANIA

 KAMPENI ya "Vuna deile" yazinduliwa rasmi kuchagiza Msimu huu wa Sikukuu za Kristmas na Mwaka mpya Mamilioni ya Watanzania wa nafasi ya Kushinda zawadi za pesa pamoja na Magari kila siku.


Mratibu wa Kampeni hiyo ya Kubashiri "Vuna deile " Naseem Allen amesema kwa kutambua kipindi hiki cha Mapumziko pesa imekuwa ikitumika na kuwa na mahitaji makubwa ya matumizi ya maandalizi ya Sikukuu hivyo wameamua kuzindua promosheni hiyo ambayo itawarahisishia maisha Watanzania wengi kusherehekea sikukuu hizo kwa kujishindia pesa kila siku pamoja na Magari."

Aidha Allen ameeleza jinsi ya kutupia ubashiri huo kuwa Unaweza kubadilisha maisha yako kirahisi sana kwa mtaji wa buku tu.

"Cheza mara nyingi zaidi kila siku ili uweze kujihakikishia nafasi ya kushinda ni mwendo wa kumiliki ndinga na kupiga pesa kila siku,Panda buku vuna MAMILIONI , Panda buku vuna GARI Ndio maana tunasema VUNA DEILE mpaka kielewekee! "

Hata hivyo ameongeza kuwa Vuna Deile inapatikana katika mitandao yote ya simu. Kucheza , ingia kwenye menyu ya pesa ya mtandao wako Halo Pesa, Airtel Money, M-Pesa, Tigo Pesa yako, Chagua lipa bili, Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 664455.

Pia amesema Kila mtanzania ana nafasi ya kutimiza ndoto zake kwa kucheza Vuna Deile na mchezo huu hauihitaji utaalam wa aina yoyote ni kuweka 1000 tu na utaweza kumiliki gari mpyaa na pia kuvuna mamilioni kila siku.
Msanii wa Bongofleva kutoka Lebo ya Next Level Rayvan akiongoza tendo la kuzindua rasmi kampeni ya "Vuna deile "akiwa na wagawa zawadi wa Kampeni hiyo Mroni twins ,bobcat pamoja Mc Garab katika ofisi za ITV Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad