HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 13, 2023

MERIDIANBET KASINO KUMWANGA BIL 2.6 MSIMU HUU WA SIKUKUU

 

KAMA wewe ni mchezaji wa kasino ya mtandaoni basi msimu huu wa Sikukuu Meridianbet haitakua kinyonge, ni lazima ufunge mwaka kwa mizawadi kibao na maokoto ya kutosha.

Kumekuwa na michezo mingi sana pendwa kwa wachezaji wa kasino ya mtandaoni miongoni mwao ni michezo ya Sloti ikiwemo AVIATOR, POKER, na ROULETTE.

Ni wakati wa kuwa mwenye furaha ya likizo unapojiliwaza na michezo bomba ya kasino ya mtandaoni kutoka MERIDIANBET! Promosheni ya Holiday Spins Splash inakusubiri kuanzia Desemba 5 hadi Januari 9.

Burudani ya kiwango kikubwa inayokupa zawadi ya 20,000 kila wiki katika raundi za ziada za bonasi, na jumla ya zawadi ya 1,000,000 Euro sawa na Tsh Bilioni 2.6.

Cheza mojawapo ya michezo ya kasino ya mtandaoni iliyochaguliwa, weka angalau dau moja la pesa halisi kwa kiasi chochote, na dau lolote linalostahiki linaweza kuamsha tuzo moja ya nasibu kutoka kwenye hazina ya zawadi.

Michezo ya kasino ya mtandaoni Iliyochaguliwa:

Big Bass Christmas Bash

Sweet Bonanza Xmas

Sugar Rush Xmas

Big Bass Bonanza

Bigger Bass Blizzard – Christmas Catch

5 Frozen Charm

Sugar Supreme Powernudge

Leprechaun Caro.

Kama ulikuwa unawaza utaufungaje mwaka basi MERIDIANBET wamekufikia na kutimiza uwanja wa ndoto zako unapocheza michezo mbalimbali ya kasino ya mtandaoni na sloti.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad