HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 29, 2023

CHAMPIONSHIP KINAWAKA LEO NA MKWANJA UPO WA KUTOSHA MERIDIANBET

 


HAKUNA kupumzika wala kuchoka nchini Uingereza leo itapigwa michezo mbalimbali ya ligi daraja la kwanza maarufu kama Championship na itatoa fursa kwa wateja wa Meridianbet kukusanya mpunga wa kutosha.

Meridianbet kitu walichokataa ni kuona wateja wao wanatia huruma kipindi hichi cha sikukuu, Kwani wanaamini wakati huu ndio wakati wa watu kutabasamu na kufurahi zaidi hivo wameweka Odds za kutosha katika michezo itakayopigwa leo kuhakikisha wewe mteja wao unajipigia mkwanja.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Vinara wa Championship klabu ya Leicester City watashuka dimbani leo baada ya kutoka kulazimishwa sare katika mchezo uliopita dhidi ya Ispwich Town, Leo watakua ugenini kukipiga dhidi ya klabu ya Cardiff City.

Southampton ikiwa moja ya timu inayofanya vizuri kwenye Championship wakiwa nafasi ya tatu leo watakua nyumbani katika dimba lao la St.Marrys kuikaribisha klabu ya Plymouth Arygyle, Mchezo huu utakua muhimu kwa Sotton katika namna ya kutafuta nafasi ya kukaa kileleni.

Mchezo mwingine mkali wa Championship ambao umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet ni kati ya klabu ya Ispwich Town wanaokamata nafasi ya pili kwenye ligi hiyo ambao watakua ugenini kukipiga na klabu ya Queen Park Rangers.

Bonge la mechi kwenye Championship litakwenda kupigwa katika dimba la Hawthorns ambapo klabu ya West Bromwich Albion walioko nafasi ya tano kwenye msimamo watakua nyumbani kuwakaribisha Leeds United inayokamata nafasi ya nne, Huku Leeds wakiwa wametoka kupoteza mchezo uliopita hivo unatarajiwa kua mchezo mkali kwelikweli.

Michezo yote inayokwenda kupigwa leo kunako ligi daraja la pili maarufu kama Championship nchini Uingereza imepewa ODDS KUBWA ambazo zitampata fursa mteja wa Meridianbet kuendelea kufurahia msimu huu wa sikukuu, Kwani ukiweka mkeka wako maokoto ni nje nje.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad