HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 12, 2023

MPUNGA WA MAANA KUTOLEWA LEO HII PALE MERIDIANBET

 

BAADA ya mechi nyingi kupigwa hapo jana, leo hii mechi za ligi mbalimbali zinaendelea ambapo Meridianbet tayari wamekwishakuwekea mkwanja hivyo kazi inabaki kwako wewe tuu, kusuka mkeka wako na kuweka dau lako.

Maokoto ya EPL yanaanzia kwenye mechi ya Liverpool dhidi ya Brentford majira ya saa 11:00 jioni ambapo vijana wa Klopp watakuwa wenyeji wa Brentford. Jogoo ametoka kutoa sare wakati Nyuki yeye akishinda mchezo wake uliopita. Mara ya mwisho kukutana, Mwenyeji alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.37 kwa Klopp na 7.25 kw amgeni. Bashiri sasa.

Mechi ya pili itakuwa ni kati ya Aston Villa dhidi ya Fulham ambapo Villa amepewa ODDS 1.55 kushinda mechi hii kwa 5.48 ya mgeni. Mwenyeji yupo nafasi ya tano kwenye msimamo huku vijana wa Craven Cottage wao wakiwa nafasi ya 16. Beti na Meridianbet mechi hii.

Wakati kwa upande wa Brighton wao watakichapa dhidi ya Sheffield United ambao wametoka kuhsinda mchezo wao uliopita. De Zerbi kushinda mechi hii amepewa ODDS 1.24 huku mgeni wake akipewa 10.78. Nani kuibuka na ubabe leo?

Ukiendelea kujibweda na ODDS KUBWA za Meridianbet kumbuka pia kucheza pia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kwa dau lako dogo kama vile Aviator, Poker, Roulette, Keno na mingine kibao inayotolewa hapa na uweze kujishindia mkwanja wa maana. Ingia www.meridianbet.co.tz

Nottingham Forest wao watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya West Ham United baada ya kushinda mchezo wake uliopita huku mwenyeji wake akipoteza mchezo wake. 1.86 ndio ODDS ya vijana wa Moyes kushinda kwa 4.01. Wewe beti yako unaipeleka wapi?

Mechi ya mwisho Uingereza hii leo ni ya moto kabisa ambapo katika dimba la Stamford Bridge Chelsea atakuwa mwenyeji wa Manchester City ya Pep Guardiola ambao ndio mabingwa watetezi wa ligi. Mara ya mwisho kukutana The blues walikufa. Je leo hii na ODDS yao ya 4.80 kwa 1.71. Nani ni nani leo? Je ni Pochettino au Pep?

Hebu sasa tuhamie pale SERIE A, ambapo vinara wa ligi SSC Napoli watakuwa wenyeji wa Empoli majira ya saa 8:30 mchana Garcia na vijana wake wapo nafasi ya 4 kwenye msimamo baada ya kushinda mchezo uliopita huku mgeni wake akiwa nafasi ya 19. Je bingwa mtetezi ataendeleza ushindi?

Wakati saa 11:00 jioni, Udinese atakuwa mwenyeji wa Atalanta ya Gasperini ambao wana pointi 19 mpaka sasa kwenye mechi zao 11 walizocheza. Mechi hii imepewa ODDS 3.92 kwa mwenyeji na 1.93 kwa mgeni. Suka mkeka wako hapa.

Naye Fiorentina atakichapa dhidi ya Bologna ambaye kapewa ODDS 3.87. Mwenyeji yupo nafasi ya nane kwenye msimamo kwa nafasi ya sita. Tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee. Mara ya mwisho kukutana Mgeni alishinda. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi? Beti hapa.

Vijana wa Jose Mourinho, AS Roma watakuaw ugenini dhidi ya Lazio Rome majira ya saa 2:00 huku mara ya mwisho kukutana vijana wa Sarri waliondoka na ushindi. Leo hii Roma wanaweza lipa kisasi? Mechi hii imepewa ODDS 2.99 kwa 2.60. Suka mkeka wako na beti hapa.

Kivumbi kingine kitakuwa pale BUNDSLIGA ambapo vijana wa Alonso Bayer Leverkusen watakuwa wenyeji wa Union Berlin. Leverkusen anahitaji ushindi hii leo aongoze ligi huku anayecheza naye yupo nafasi ya 17. Mara ya mwisho kukutana walitoka suluhu. Je leo hii nani atashinda?

Saa 1:30 Werder Bremen atakipiga dhidi ya Eintracht Frankfurt ambapo tofauti ya pointi ya pointi kati yao ni 7 pekee. Mwenyeji kapewa ODDS 2.65 kwa 2.55. Tengeneza mkeka wako na uweke mechi hii.

RB Leipzig baada ya kupoteza mchezo uliopita, watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya SC Freiburg ambao wapo nafasi ya 8 kwenye msimamo na pointi zao 14. Mara ya mwisho kukutana RB alishinda. Je leo hii atafanya nini akiwa nyumbani?

LALIGA, nayo kama kawaida itabamba ambapo bingwa mtetezi FC Barcelona atacheza dhidi ya Deportivo Alaves amabao wamepewa ODDS 11.76 kushinda mechi hii kwa ODDS 1.22. Xavi na vijana wake wanahitaji ushindi huu kujiweka sawa kwenye msimamo wa ligi. Beti sasa mechi hii.

Sevilla uso kwa uso dhidi ya Real Betis majira ya saa 2:30 usiku guku mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Mwenyeji yupo nafasi ya 15 na mgeni wake yupo nafasi ya 07. Je nani kuhsinda leo hii?

Ligi ya Hispania kwa leo hii itahitimishwa na mechi ya usiku kabisa ambapo mchezo huo utakuwa ni kati ya Atletico Madrid dhidi ya Villarreal ambao wamepewa ODDS 8.62 kwa 1.30. Mara ya mwisho kukutana walitoka sare ya 2-2. Je nani kuibuka mbabe leo hii? Suka jamvi lako hapa.

Ligi ya Ufaransa LIGUE 1, kitawaka ambapo mechi ya saa 11:00 itakua ni kati ya Lille dhidi ya Toulouse ambapo mwenyeji yupo nafasi ya tano na mgeni yupo nafasi ya 14. Tofauti ya pointi kati yao ni 8. Je nani ni nani leo?

Nantes atakuwa mgeni wa FC Metz ambao wana ODDS 3.09. Mara ya mwisho walipokutana walitoshana nguvu. Je leo hii nani ataondoka na ubabe? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale meridianbet.

Stade Rennes atakiwasha dhidi ya Olympique Lyon ambao hawajapewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu kwani wamepewa ODDS 4.31 kwa 1.70. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 na mgeni wake nafasi ya 18. Bashiri kibingwa hapa.

RC Lens yeye atakuwa uso kwa uso dhidi ya Olympique Marseille ambapo kwenye msimamo wa ligi timu hizi mbili zinafuatana kwani mpaka sasa wana pointi sawa kinachowatofautisha ni mabao ya kufungwa na kufunga. 2.22 na 3.14 ndio ODDS za mechi hii. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad