BAADA ya kushuhudia mechi za ligi ya mabingwa na Europa kupigwa siku ya Jumanne na Jumatano, sasa wikendi hiyo imewadia na mechi za ligi mbalimbali kupigwa na hivyo wewe mtumiaji wa Meridianbet huu ndio wakati wa kupiga mkwanja.
Leo hii kuna mechi kibao kwenye ligi mbalimbali ambapo Laliga pale Athletic Club baada ya kutoa dozi nzito mechi yake iliyopita, atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Deportivo Alaves ambaye ametoka kupoteza mchezo wake. Nafasi ya kuchukua pointi tatu mechi hii amepewa mgeni akiwa na ODDS ya 2.11 kwa 3.82. Suka jamvi lako na ubashiri mechi hii.
Mechi nyingine itakuwa hapo kesho ambayo itawakutanisha Osasuna dhidi ya Sevilla majira ya saa 11:15 jioni. Ikumbukwe kuwa vijana wa Jose Mendilibar wakitoka kulazimishwa sare nyumbani kwao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa. Mara ya mwisho kukkutana timu hizi Osasuna alishinda. Je mgeni kulipa kisasi? Mechi hii inda machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.
Majira ya saa 1:20 usiku mabingwa watetezi, FC Barcelona baada ya kutoa kichapo cha maana mechi yake ya ligi ya mabingwa wikendi hii atashuka dimbani kumenyana dhidi ya Celta Vigo ambaye ametoka kupoteza mechi yake ya mwisho ya Ligi. Xavi ataendeleza ushindi kwenye mechi zake baada ya kuongeza kandarasi klabuni hapo?
Meridianbet wamekuletea promosheni ya Keno ambayo unaweza kujishindia zawadi mbalimbali kama vile boda boda, simu aina ya Samsung A32 pamoja na pesa taslimu. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.
Tukiachana na Ligi hiyo, Serie A nayo itaendelea kurindima wiki hii ambapo leo hii zitapigwa mechi mbili Salernitana atamualika Frosinane nyumbani kwake huku mwenyeji akiwa hana mwenendo mzuri kwenye mechi zake ambazo amecheza kwani mpaka sasa na apointi 2 pekee kwenye mechi 4 ambazo amecheza. Mgeni yupo nafasi ya 6 akiwa na pointi 7. Bashiri mechi hii ndani ya Meridianbet.
Nyingine itakuwa ni kati ya Lecce dhidi ya Genoa ambapo mwenyeji kushinda amepewa ODDS ya 2.50 wakati kwa upande wa mgeni yeye amepewa 3.04. Beti yako wewe unaiweka kwa nani ambaye unaona kabisa lazima ashinde.
Cheza michezo ya kasino ya mtandaoni inayotolewa na Meridianbet kama vile Aviator, Poker, Roulette, Keno, Wild Icy Fruits na mingine kibao kwa dau dogo tuu kuanzia shilingi 200.
AC Milan yeye atamleta San Siro Hellas Verona na mara ya mwisho walipokutana Stephano Pioli na vijana wake waliondoka na ushindi kwenye mechi zote mbili. 1,37 ndiyo ODDS ya ushindi kwa Milan na mgeni kazawadiwa ODDS ya 7.84.
EPL nayo haipo nyuma kazima kitawaka kesho Manchester United atakua ugenini dhidi ya Burnley kusaka pointi tatu muhimu baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo kwenye ligi. Je Ten Hag atafanya nini kesho kuipatia United ushindi?. Ikumbukwe kuwa mwenyeji ahajashinda hata mechi moja toka ligi ianze. Atakuwa kikwazo kwa Mashetani?
Bingwa mtetezi Manchester City chini ya Pep Guardiola wao watakuwa pale Etihad kucheza dhidi ya Nottingham Forest. City ndio timu ambayo imeshinda mechi zote mpaka sasa. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Suka jamvi lako na ubeti sasa.
Mechi nyingine yenye ODDS KUBWA pale Uingereza ni kati ya Crystal Palace dhidi ya Fulham. Msimu uliopita walipokutana mgeni aliondoka na alama 4 yani mechi ya kwanza alishinda na ya pili wakatoa sare. Machaguo ni mengi mechi hii baashiri sasa.
Jckpoti kubwa ya Meridianbet inaendelea bashiri kupitia USSD kwa dau la shilingi 1000 pekee ili uweze kuvuna mkwanja wa shilingi 85,000,000 ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Piga *149*10#.
Ligi ya Ujerumani yani Bundesliga pia kama kawaida itapigwa, Borussia Dortmund baada ya kupokea kichapo kwenye ligi ya mabingwa atacheza dhidi ya Wolfsburg katika dimba la Signal Iduna Park. Terzic amepewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu kwa ODDS ya 1.71 kwa 4.21. Wewe unamdhamini nani mechi hii?
RB Leipzig atakuwa mgeni wa Borussia Monchengladbach ambaye ametoka kutoa sare a kufungana mchezo wake uliopita wa ligi. RB ameendelea kuwa wa moto sana kwenye mechi zake nne zilizopita ambazo ameshinda zote. ODDS KUBWA zipo hapa bashiri sasa na Meridianbet.
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
No comments:
Post a Comment