HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 24, 2023

MAELEKEZO JUMAPILI HII YANAPATIKANA KWENYE DABI YA LONDON KASKAZINI TU

 


*NORTH LONDON DERBY
JUMAPILI hii ipo spesho kabisa kwajili ya mahasimu wa jiji la London ukanda wa Kaskazini klabu ya Arsenal dhidi ya Tottenham Hotspurs mchezo ambao utafunga wikiendi na maokoto yako kwa ujumla, Mchezo huu pale Meridianbet umepewa ODDS za kutosha ambapo Arsenal wamepewa 1.71 Tottenham wamepewa ODDS 4.21 na sare imepewa 4.11 weka ubashiri ujipigie mkwanja mapema tu.

Dabi ya London Kaskazini itakayopigwa jumapili katika dimba la Emirates itakua na mvuto kwani itakutanisha makocha wenye mvuto kwasasa kwenye ligi kuu ya Uingereza, ambao ni Mikel Arteta na Ange Postecoglou ambao mpaka sasa hawajapoteza mchezo hata mmoja katika michezo yao mitano ya ligi kuu ya Uingereza.

Jambo ambalo linafanya mchezo huu uwe wa kuvutia zaidi mbali na uhasimu mkali uliopo baina ya vilabu hivo viwili kutoka Kaskazini mwa jiji la London ni fomu ya timu zote mbili ambayo wamekua nayo mpaka sasa, Kwani Arsenal mpaka sasa wamecheza michezo mitano na kushinda minne na kusuluhu mchezo mmoja hivohivo kwa Tottenham hivo mchezo huo ndio unasubiriwa kwa hamu kuangalia nani atakubali kupokea kichapo kwa mara ya kwanza msimu huu.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Utamu mwingine katika mchezo huu ni takwimu baina ya timu hizi zinapokutana ambapo katika michezo tisa ya mwisho waliyokutana katika ligi kuu ya Uingereza wenyeji Arsenal wameshinda mara nne, Huku Tottenham wao wakishinda mara tatu na sare ni michezo miwili katika michezo yote walicheza michezo yote imetoa magoli ya kutosha, Hivo kwa wale wanaopenda kubashiri magoli ambapo pale Meridianbet chaguo hilo lipo mchezo huu haujawahi kumuangusha mtu kwenye magoli.

Mbali na Derby ya London Kaskazini lakini pia Jumapili hii kutakua na michezo mingine mikali itakayopigwa katika ligi mbalimbali barani ulaya ambapo pale Meridianbet itakua imewekewa ODDS KUBWA na unaweza kuibashiri ujishindie kitita cha kutosha.

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Michezo mingine itakua kati ya Chelsea dhidi ya Aston Villa utakaopigwa pale katika dimba la Stamford Bridge, Liverpool wakiwa nyumbani wao wataikaribisha Westham ya David Moyes pale La liga kutakua na mbungi ya kukata na shoka Derby ya Madrid ambapo Atletico Madrid itakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Real Madrid katika dimba la Wanda Metropolitano pale Ufaransa Mabingwa watetezi klabu ya PSG watacheza na Olympique de Marseille ambapo wamepishana alama moja mchezo unaotarajiwa kua mkali sana. Michezo yote hii utaipata pale Meridianbet na imewekewa ODDS BOMBA kazi ni kwako tu kuweka ubashiri wako na ujishindie mkwanja wa kutosha.

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad