WAANZILISHI wa kampuni ya mitindo na nywele za mastaa wakubwa Duniani Medigah London Hair, wamezindua mtindo mpya wa nywele na app yake ya kuweza kujipatia bidhaa zao kupitia MLH App na uzinduzi umefanyika jijini Nairobi, na kuhudhuliwa na watu mashuhuli wakiwemo wabobezi wa masuala ya urembo wa nywele.
Tukio hilo lilishuhudiwa kwa uzinduzi mpya wa mwonekano wa kwanza wa bidhaa za Medigah London Hair, zijulikana zo kama Mercedes, Nicki, Shensea, Barbie, Chelsea, na Trina.
Vile mabalozi wa bidhaa hii, akiwemo mwimbaji wa TikTok Cindy003, Shakila na Milly Wajesus, ni miongoni mwa waliovutiwa na bidhaa hii mpya sokoni ambayo asilimia 100 ya nywele ni za binadamu zikiwemo za Brazili, Peruvia, au Malaysia, na urefu wa kuanzia inchi 12 hadi 30.
No comments:
Post a Comment