HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 25, 2023

Njoo Meridianbet Ukusanye Mpunga kwa ODDS KUBWA

 

KIVUMBI kitapigwa kule SERIE A, ambapo AC Milan atamkaribisha Torino ambaye ametoka kutoa suluhu mechi yake iliyopita. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi Pioli kwa ODDS ya 1.63 kwa 5.68 wewe beti yako unampa nani?. Wakati huo huo bingwa mtetezi Napoli baada ya kutoa dozi nzito mechi yake ya kwanza atacheza Sassuolo Calcio.

Juventus akiwa na ODDS ya 1.47 atacheza dhidi ya Bologna mwenye ODDS ya 6.66. Allegri anahitaji kushinda ili kutetea taji la Scudetto. Fiorentina atakuwa mwenyeji wa Lecce . Suka jamvi lako ukiwa na Meridianbet.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Katika jiji la Starehe Paris, ligi ya nchi hiyo LIGUE 1, itarindima ambapo PSG watawaalika Lens katika dimba la Parc Des Princes huku vijana hao wa Enrique wakishindwa kupata pointi 3 mechi zao mbili walizocheza.

Lille mwenye ODDS ya 1.96 atakuwa mgeni wa Lorient mwenye ODDS ya 3.67.Mechi mbili walizokutana kila mtu aliondoka na alama tatu. Je nani kuibuka mbabe? Rennes ambaye ana pointi 4 kwenye msimamo atamkaribisha Le Havre ambaye ana pointi 1 pekee.

Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Olympique Marseille atakuwa mwenyeji wa Brest huku mechi yao ya mwisho kukutana, , Brest aliondoka na pointi 4. ODDS za kibabe zipo hapa huku kukiwa na machaguo kibao. Ingia mchezoni.

MZIGO WA KUTOSHA UPO MERIDIANBET, INGIA NA USHINDE SASA.

Pale EPL mechi mbalimbali kupigwa, Tottenham baada ya kumkanda mtu mechi iliyopita atakuwa ugenini dhidi ya Bournemouth ambaye alipoteza mechi yake iliyopita. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Majira ya saa 1:30 usiku Brighton atamenyana dhidi ya West Ham huku timu zote zikitoka kupata ushindi mkubwa mechi zao zilipita.

Hapo hapo Uingereza, mechi kali zitapigwa, vijana wa Arteta watakuwa Emirates kukiwasha dhidi ya Fulham. Arsenal wanataka kutetea taji lao ambalo walilikosa msimu uliopita. Crystal Palace baada ya kupoteza mechi iliyopita atakuwa ugenini tena kucheza dhidi ya Brentford ya Thomas Frank. Nafasi kubwa ya ushibdi pale Meridianbet amepewa ODDS ya 2.08 kwa 3.52.

Ukiwa na Meridianbet ni rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

MZIGO WA KUTOSHA UPO MERIDIANBET, INGIA NA USHINDE SASA

LALIGA nayo imewaka moto timu kadha wa kadha kuchuana kuwania pointi tatu muhimu, baada ya Sevilla kupoteza mechi yake iliyopita, atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Girona. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000, bashiri sasa. Mechi nyingine ya kuvutia ni kati ya Bingwa mtetezi FC Barcelona dhidi ya Villarreal huku mechi ya mwisho kukutana Barca aliibuka mbabe.

Tukisalia hapo hapo Hispania, Valencia atamualika Osasuna huku tofauti ya pointi kati yao ni 6. Walipokutana mara ya mwisho mwenyeji aliondoka na pointi zote. Nani kukupatia mkwanja kati ya timu hizi mbili?

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET MSIMU MPYA, MZIGO WA KUTOSHA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad