HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 28, 2023

MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO YAZUNGUMZIA MKUTANO WA AGRF 2023

Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Elibariki Bajuta, amezungumzia uhusiano wa usalama wa chakula na sekta ya utalii, huku Tanzania ikijiandaa kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF summit), utakaofanyika Septemba 5-8, 2023, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad