HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 14, 2023

NIC Insurance yaibuka mshindi wa kwanza kwa watoa huduma za bima maonesho ya sabasaba

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi tunzo kwa mshindi wa kwanza katika kundi la Bima kwa Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano Karimu Meshack wja ubunifu katika Wakati wa ufungaji kilele cha Maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam (DITF) katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa NIC Insurance Karimu Meshack akiwa na Tunzo mara baada ya kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi kwenye kilele cha ufungaji wa Maonesho ya Biashara  Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yaliyokuwa yakifanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa NIC Insurance Karmu Meshack (mwenye suti ) wakifurahi na Timu ya wafanyakazi wa NIC Insurance mara baada ya kuibuka washindi katika waonyeshaji wa Bima katika  maonesho ya 47 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam (DITF) Sabasaba  jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa NIC Insurace  wakifurahia baada kuibuka washindi katika maonesho ya Sabasaba jijinj Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad