HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 22, 2023

NAIBU WAZIRI WA ELIMU ATEMBELEA BANDA LA NBAA MAONESHO YA TCU, WANANCHI WAPATA ELIMU

 


Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mh, Omary Juma Kipanga akitembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakati wa kufunga maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU).
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Juma Kipanga akisalimiana na wafanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) alipotembelea Banda la Bodi hiyo wakati wa kufunga maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Juma Kipanga(wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Masoko na Mawasiliano kutoka NBAA Magreth Kageya (wa tatu kulia) kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi hiyo wakati wa kufunga maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Juma Kipanga akizungumza jambo mara baada ya kupata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakati wa kufunga maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia.
Afisa Masoko na Mawasiliano kutoka NBAA Magreth Kageya(kushoto) akitoa elimu kwa mwananchi aliyefika katika banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kwenye ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU).
Afisa Msaidizi Idara ya Elimu na Mafunzo, Joachim Luguzye akitoa ufafanusi kuhusu ada za mitihani ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kwenye ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU).
Afisa Msaidizi Idara ya Elimu na Mafunzo, Joachim Luguzye (katikati) akiendelea kutoa elimu kwa mwananchi aliyefika kwenye banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kwenye ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU). Wa kwanza kushoto ni Afisa TEHAMA kutoka NBAA, Hassan Kawambwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad