HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 8, 2023

KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA ATEMBELEA BANDA LA PSPTB

  

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa kwanza kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Shamim Mdee (wa kwanza kulia) akitoa elimu kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa kwanza kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Elimu Mkuu- Mitaala (PSPTB), Jeremiah J. Haule (wa tatu kulia) akitoa elimu kuhusu namna wanafunzi wanavyoweza kujisajili na kufanya mitihani ya Bodi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba(wa kwanza kushoto) akizungumza jambo mara baada ya kupata elimu kutoka kwa maafisa wa Bodi ya PSPTB ikiongozwa na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Shamim Mdee (wa kwanza kulia) kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akisaini kitabu katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es  Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akikabidhiwa zawadi na Meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Shamim Mdee kwa niaba ya Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Baadhi ya maofisa wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) mara baada ya kutembelea Banda la Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es  Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad