HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 8, 2023

KATIBU MKUU DKT. NATU EL-MAAMRY MWAMBA ATEMBELEA BANDA LA NBAA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) Rebecca Siame (wa pili kulia) akitoa elimu kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)Makyei Ntiro (wa pili kushoto) akitoa elimu kuhusu namna wanafunzi wanavyoweza kujisajili na kufanya mitihani ya Bodi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akizoma moja ya kipeperushi cha Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)alipotembelea banda hilo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akizungumza jambo mara baada ya kupata elimu kutoka kwa maafisa wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akisaini kitabu katika Banda laBodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akiwa kwenye picha ya pamoja na Baadhi ya maofisa wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) mara baada ya kutembelea Banda la Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad