HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 17, 2023

HII NDIYO ROULETTE BOMBA MERIDIABET KASINO

 

BAADA ya kumfahamu bingwa wa michezo ya Roulette moja kati ya mchezo pendwa kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni, Dkt Jarecki, ambaye tangu augundue alikuwa ni fundi wa kutupwa na jokeri mkubwa wa kuogopeka alitefariki akiwa na miaka 80s.

Kuna huu mchezo wa kasino ya mtandaoni (American Roulette) uliotengenezwa na Microgaming kwa kushirikiana na Switch Studios, wachezaji na wadau wa kasino ya mtandaoni wanathamini urahisi na ufanisi wa mchezo huu wa roulette.

Kitu pekee kinacho tofautisha American roulette na michezo mengine ya roulette kutoka kasino ya mtandaoni ni uwepo wa namba mbili za sufuri (00) kwenye gurudumu.

American roulette inajumuisha gurudumu la roulette, mpira, na ubao wa mchezo. Moja ya faida kubwa ya American roulette ni rahisi kutumia. Lengo la mchezo wa kuvutia roulette ni kutabiri namba au kundi la namba ambazo mpira utaangukia.

Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni mchezo wa RNG (Random Number Generator), ikimaanisha hakuna mchezeshaji laivu. Mchezo unabadilika kwa urahisi kati ya ubao wa kuweka dau na kuonyesha gurudumu linalozunguka.

Lakini pia American Roulette una (00) tofauti na Roulette nyingine zenye sifuri moja, kigine ni uwepo wa namba 38 badala ya 37. Kuna namba thelathini na sita za kawaida, zilizopambwa kwa rangi nyekundu na nyeusi, pamoja na sufuri mbili. Sufuri moja ni kijani, na nyingine ni sufuri mbili kijani.

JINSI YA KUCHEZA
Unapoanza kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unapaswa kuchagua sarafu unayotaka kutumia kutoka kwenye safu na uiweke kwenye ubao. Pia kuna kitufe cha race track kinachopatikana kusaidia dau za majirani.

Mbali na kipengele cha kucheza moja kwa moja, American Roulette hukumbuka dau lako la mwisho. Kwa hivyo, ikiwa unataka kubeti muunganiko ule ule, bonyeza kitufe cha spin. American Roulette unatoa ukurasa wa takwimu ambapo unaweza kuona data za kurasa 100 zilizopita.

Kando na kitufe cha Spin, utaona kitufe cha Clear Bets, kinachoruhusu kufuta dau lako la awali na kuanza upya. Ikiwa hauko tayari kufuta dau, lakini ungependa kucheza spin inayofuata na dau zilizopo kutoka mchezo uliopita, bonyeza tu kitufe cha redo.

Mchezo huu pia una kitufe cha X2 Double, ambacho kinadondosha dau lako mara mbili kwa kubonyeza tu. Kushinda mchezo, unaweza kuweka Inside Bets au Outside Bets, pamoja na kubeti namba jirani.

Ingia mchezoni uonje raha na utamu wa roulette hii pendwa inayopatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni kupitia www.meridianbet.co.tz

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad