HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 20, 2023

CHUO KIKUU CHA KATOLIKI CHA RUAHA(RUCU) CHAENDELEA KUTOA HUDUMA MAONESHO YA TCU


Balozi Profesa Costa Mahalu akipata maelezo kutoka Mkurugenzi wa Shahada za Awali kutoka Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (RUCU) Dkt. Willy Migodela kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Balozi Profesa Costa Mahalu(katikati) akipata maelezo kuhusu Pampu ya kujazia maji kutoka kwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (RUCU) Juma Kabota (kushoto) katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Shahada za Awali kutoka Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (RUCU) Dkt. Willy Migodela.
Balozi Profesa Costa Mahalu akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (RUCU) Amina Mdoe mashine ya Juice ya kuuzia juice kwenye mfumo wa moja kwa moja katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Balozi Profesa Costa Mahalu akisaini kitabu katika banda la Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (RUCU) katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mhadhili wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (RUCU) Emmanuel Reuben.
Mkurugenzi wa Shahada za Awali kutoka Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (RUCU) Dkt. Willy Migodela akitoa maelezo kuhusu baadhi ya kozi zinazotolewa chuoni hapo wanafunzi waliofika katika bando la Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mhadhili wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (RUCU) Emmanuel Reuben akiwaonesha kozi mbalimbali pamoja ua ufanyaji wa Udahili kwa wanafunzi waliofika kwenye Banda la Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (RUCU) Amina Mdoe akitolea ufafanuzi mashine ya kusaga magome ya miti kwa ajili ya kupata dawa kwa wanafunzi wa Sekondari ya Zanaki walipotembelea Banda la Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mwanachuo wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (RUCU) Kelvin Bhiragu( wa kwanza kulia) akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Sekondari ya Zanaki walipotembelea Banda la Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (RUCU) Amina Mdoe akitoa elimu kwa wanafunzi waliofika katika banda la Chuo hicho kuhusu kozi zinazotolewa chuoni hapo katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Balozi Profesa Costa Mahalu akiwa kwenye picha ya pamoja na Waadhili na Wanafunzi wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Rucu) katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad