AJIPIGIA MAMILIONI KWA TSH 250/= - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 5, 2023

AJIPIGIA MAMILIONI KWA TSH 250/=

 


HAKUHITAJI kutumia nguvu kubwa kufanya kazi ngumu, hakuhitaji kutembea na vyeti vyake kusaka michingo mjini, wala hakuhitaji awe na mtaji wa mamilioni kutimiza ndoto yake bali alihitaji kuwa na Meridianbet mabingwa wa odds kubwa kutimiza michongo yake.

Huyu ni mwamba sana aliyeibuka Milionea kwa siku moja tu, ambayo aliamua kubashiri na Meridianbet kupitia beti na kitochi *149*10# kisha aliweka dau la Tsh 250 na kuanza kusikilizia maokoto (pesa) kudondoka.

Ili kujiweka kwenye nafasi kubwa ya ushindi Mfalme mpya wa kubashiri soka aliamua kuweka machaguo yenye odds kubwa, huku kila timu akiipa chaguo lake ambalo aliona linaweza kuzalisha Tsh 250/= na kuwa mamilioni.

Mabibi na Mabwana hatimaye Meridianbet wamemtambulisha kwenye familia ya mabingwa, mshindi mpya wa Tsh Milioni 2,183,703/= na wewe una nafasi ya kuwa mfalme ukibashiri soka na kucheza kasino ya mtandaoni.

Mbinu Gani Alitumia Kushinda?
Mfalme huyu alitengeneza tiketi yenye timu 11 za uhakika, huku akichagua machaguo ya aina tatu kama vile sare kipindi cha kwanza, ushindi kwa timu ya ugenini, ushindi kwa timu ya nyumbani na sare kipindi cha pili.

Kati ya timu 11 timu saba alizipa chaguo la sare kwenye kipindi cha kwanza, huku nne zilizobaki akitoa ushindi kwa timu ya ugenini na nyumbani.

NB: Ligi zimeisha lakini usiwaze wajanja wanatengeneza hela kupitia kasino ya mtandaoni, jiunge meridianbet kama bado na upate mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jiunge sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad