HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 16, 2023

UCL & Europa 2023 Leo ndio Leo


Ilianza kwa timu 32 za Ulaya safari hii ilikuwa yenye vikwazo na vituo ni vingi sana, wengi hawakuweza kuvumilia baridi kali na misukosuko ya mashua ya UCL na Europa. Manahodha walisaidizana na abiria wao lakini hatimaye wamebaki wane kwenye jahazi hili ni Man City, Real Madrid, Inter vs Milan, Sevilla vs Juventus na Leverkusen vs Roma, Meridianbet wameongeza odds kubwa na machaguo mengi Zaidi ya 1000+

Usiku wa mabingwa Ulaya unaenda kuweka historia kwa mara nyingine tena, katika dimba la Giuseppe Meazza itawakutanisha mahasimu wawili kwenye soka la Italia, Inter Milan vs AC Milan kitawaka.

Mchezo wa kwanza ulimalizika kwa ushindi wa mabao 2-0 Inter alimakalisha Milan, odds kubwa pekee zipo Meridianbet, usisahau kucheza kasino ya mtandaoni, kwenye mchezo huu Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi Inter kwa odds kubwa 2.18 huku Milan akipewa 3.47, sare ina 3.28. Unampa nani ashinde mechi hii? Bashiri Meridianbet kwa odds kubwa.

Mechi ya kisasi Man City vs Real Madrid

Hii ni mechi ngumu na huenda ikawa ngumu kidogo kuitabiri, mchezo wa kwanza Kelvin De Bryune aliinusuru City kwenye kipigo kwa bao lake la kusawazisha na kufanya matokeo kuwa 1-1, kwenye dimba la Etihad hii itakuwa mechi ya kisasi kwa Pep Guardiola na vijana wake. Meridianbet wametoa odds kubwa kwa ushindi 1.64 City, 4.90 Madrid ashinde, sare ina odds kubwa ya 4.11, chaguo ni lako unamuamini nani kwenye mkeka wako.

Ligi ya Uropa hatua ya nusu fainali itapigwa siku ya Alhamis mechi mbili, Bayer Leverkusen vs AS Roma, Sevilla vs Juventus mchezo wa kwanza uliisha kwa sare nani atafuzu hatua ya fainali?

Kwako wewe mpenzi wa kasino ya mtandaoni kuna michezo mingi na sloti za kijanja za kupiga hela, pia ukijisajili Meridianbet unapata mizunguko 50 ya bure kucheza kasino, kujisajili ni rahisi gusa hapa.

NB: Meridianbet imekuja na Jackpoti kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad