HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 30, 2023

NBAA YAENDELEZA ZIARA VYUONI, MZUMBE YAFIKIWA

 


Mfanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), Sawa Ngendabanka akitoa elimu kwa wanachuo wa chuo cha Mzumbe tawi la Tegeta, Dar es Salaam pamoja na kuwahamasisha wanachuo hao kujiunga na masomo ya Uhasibu watakapomaliza masomo ya Chuo.
Mfanyakazi wa NBAA, Humphrey Symphorian akitoa elimu kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kwa wanachuo wa chuo cha Mzumbe tawi la Tegeta jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanachuo wa Chuo cha Mzumbe tawi la Tegeta, Dar es Salaam wakiuliza maswali kwa wafanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) waliofika chuoni hapo kwa ajili ya kutoa elimu pamoja na kuwahamasisha wanachuo hao kujiunga na masomo ya Uhasibu na Ukaguzi watakapomaliza masomo ya Chuo.
Baadhi ya wanachuo wa Chuo cha Mzumbe tawi la Tegeta, Dar es Salaam wakifuatilia mada zilizokuwa zinatolewa na wafanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) waliofika chuoni hapo kwa ajili ya kutoa elimu pamoja na kuwahamasisha wanachuo hao kujiunga na masomo ya Uhasibu na Ukaguzi watakapomaliza masomo ya Chuo.
Mkufunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la Tegeta, Dar es Salaam, CPA Nicholaus Massawe akitoa shukrani kwa niaba ya chuo kwa maofisa wa NBAA waliotembelea chuoni hapo kwa lengo la kutoa mafunzo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad