HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 2, 2023

MAJALIWA ATEMBELEA MAONESHO VIWANJA VYA BUNGE DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu tiba lishe, mafuta na sabuni zinazotokana na mwani  kutoka Happy Kapinga (kushoto) katika maonyesho yaliyoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Mei 2, 2023. Kulia kwake ni Waziri w Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu tiba lishe, mafuta na sabuni zinazotokana na mwani  kutoka Happy Kapinga (kushoto) katika maonyesho yaliyoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Mei 2, 2023. Kulia kwake ni Waziri w Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega na kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, David Silinde. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi  wa Kampuni ya Alphakrust Limited, Bw.  Ganeshan  Vedagiri (kulia) kuhusu  minofu ya samaki iliyogandishwa kwa ajili ya kuuzwa ndani na nje ya nchi  wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo katika maonyesho yaliyoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 2, 2023. kushoto ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad