HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 20, 2023

MABIBO BOYS YAISHUKURU MERIDIANBET KWA KUWAPA VIFAA VYA MICHEZO

 

KAMPUNI maarufu ya ubashiri Tanzania Meridianbet imeitembele timu ya mpira wa miguu Mabibo boys inayopatika Mabibo Dar es salaam na kuwapatia vifaa vya micheoz ambavyo ni jezi na mipira ambayo itawasaidia kwenye mashindano mbalimbali ambayo watakuwa wakishiriki.

Kila siku kampuni hiyo huwaza jinsi ambayo itarudisha kwenye jamii kutokana na kuwa jamii ndiyo ambayo inawafanya wao wazidi kutamba kila siku. Hivyo wakaona kuwa michezo kama sehemu ya maisha yao ya kila siku ni vyema kuwafikia vijan ahao na kuwawezesha na vifaa kadhaa vya kimichezo ambavyo vinaweza kuwasaidia.

Endelea kubashiri mechi zako mbalimbali kwa kutumia Meridianbet ambapo huku unapata ODDS KUBWA, machaguo mengi zao na kupitia kaulimbiu yao ya “chagua tukupe” inazidi kuwafanya wateja wao wafurahie huduma zao.*Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hiiBaada ya kutoa jezi na mipira Bwana Matina Nkurlu ambaye ndiye alikuwa muongozaji wa msafara huo alisema kuwa, “Meridianbet tunaamini michezo ni Afya na ni Ajira hivyo kuwapa vifaa vya michezo ndugu zetu wa Mabibo Boys ni katika kuhakikisha vijana hawa wanakua na afya njema lakini pia kupata ajira kupitia michezo, na tunatoa wito kwa makampuni mengine kushiri kikamilifu kuvisaidia hivi vituo vidogo vya michezo ili kuzalisha watu wengi wenye mafanikio kwenye michezo”

Vilevile baada ya kupokea vifaa hivyo michezo katibu wa timu ya Mabibo Boys alisema kuwa anashukuru kwa msaada huo kwani umekuja wakati sahihi kwakua timu yao ilikuwa na uhitaji mkubwa wa vifaa vya michezo na mipira hivyo itakuwa Meridianbet wamewasaidia kutatua changamoto zao kuelekea kwenye mashindano.

Meridianbet imejiwekea utaratibu wa kutoa misaada sehemu mbalimbali hasa michezo na sehemu nyingine, kama taasisi ya michezo ya kubahatisha imekua ni utaratibu unaopaswa kuigwa.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiunga huu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Kampuni zingine ziige mfano kutoka Meridianbet kwa kurudisha kwa jamii kwani kuwaunga mkono vijana hasa katika soka itasaidia sana kuleta chachu ya maendeleo katika sekta ya michezo kwani vijana ndio Taifa la leo.Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad